MAENDELEO YA SEKTA YA HABARI ZANZIBAR

 YAFAHAMU MAENDELEO MAKUBWA YALIYO PATIKANWA KATIKA AWAMU YA SABA KATIKA UWONGOZI WA DR SHEIN

Uandishi wa habari ni mchakato wa kuandika, kutangaza na kuchapisha habari ili kuweza kuwafikiwa hathira walio wengi katika jamii. Kuna njia tofauti tofauti ya kuwafikishia hadhira matukio na habari mbalimbali kama vile kupitia magazeti, kupitia televisheni na redio pamoja na njia ya mtandao.

Dr Shein ni kiongazi mahiri sana kwani alikuwa akiongoza Zanzibar kwa weledi mkubwa, uvumilivu, ustahamilivu, akitumia busara, uzalendo, uaminifu wa hali ya juu na mtu asiye na pupa na sifa hiyo ikiongeza haiba ya ukarimu wake alio jaaliwa na muumba. 

Katika awamu ya saba ya Dr Ali Muhammed Shein ni kati ya awamu iliyo ishuhulikia vyema na kuiletea maendeleo makubwa sekta ya habari kwa kuzingatia wakati wa sayansi na teknologia, Dr Shein hakuifumbia macho ZBC kwa kuiletea vifaa vya kisasa na uwongozi makini katika sekta hiyo.

Mfano wa vifaa hivyo ni trasmita yenye uwezo mzuri wa kurusha matangazo yake na kuskika Unguja na Pemba, studio za kisasa zenye manzari nzuri kwa kutangazia na kuandalia vipindi, computa pamoja na meza za kuvutia. 

Kwaupande wa ZBC redio nayo hajakuiwacha nyuma na kuwapelekea transmitar kutoka kiwango cha 2 hadi 4, hata hivyo wanawake nao hakuwapa mgongo kawapatia nafasi za juu kuanzia mtaarishaji vipindi pamoja na mhariri mkuu. Hii inaonesha nanma gani Dr Ali Muhammed Shein  alivyo boresha katika sekta ya habari na kuwajali na kuwapa wanawake kipao mbele katika uwongozi.

Bila ya kusahau katika miaka kumi yote Dr Shein alijitahidi kuidumisha amani kwa wazanzibari, amani ambayo ilifanikisha kuleta maendeleo makubwa ya kijamii na kiuchumi na katika nyanja tofauti.

Hivyo tunamtakia Dr Shein kila la kheri katika mapumziko yake kwani aliyo yafanya sio madogo na anastahiki pongezi pamoja na tunzo na kuwa kigezo kizuri kwa viongozi wengine.




Comments

Popular posts from this blog

MADHARA YA RUSHWA KATIKA JAMII

ELIMU NI RASILIMALI MUHIMU KATIKA MAISHA

FAIDA ZA TIKITIMAJI KATIKA MWILI WA BINAADAMU