MADHARA YA RUSHWA KATIKA JAMII
RUSHWA NI ADUI WA HAKI. JE UNAYAJUA MADHARA YA RUSHWA KATIKA JAMII NA SERIKALI KWA UJUMLA.
Rushuwa ni fedha au kitu chochote cha thamani anachopewa mtu mwenye madaraka ya jambo fulani ili mtoaji apatiwe upendeleo.
Rushwa kiserikali ni usaliti kwa umma, kwasababu rasilimali za umma zinaweza kutumiwa vibaya kwa lengo la kumnufaisha mtoaji rushwa na mpokeaji.
MADHARA YA RUSHWA
- Huzuia ukuaji wa uchumi.
- Huhatarisha utawala bora na haki za binaadamu, mfano kununua kuara wakati wa uchaguzi na kutishia mchakato wa kidemocrasia.
- Hupelekea kutoa nafasi za upendeleo chini ya huduma mfano huduma za afya,elimu, upatikanaji wa maji ya kunywa na makaazi.
Mnamo septemba 2016serikali ilianzisha mahakama kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu uchumi ili kushuhulikia kesi kubwa za rushwa.
Rushwa ya ngono:
Rushwa ya ngono ni moja miongoni mwa rushwa katika jamii zetu, pale ambapo mtu mwenye mamlaka hudai ngono ili aweze kumsaidia au kutoa huduma au nafasi ya upendeleo kwa mtu husika, yaweza kuwa spitali hususan maofisini ambopo watu mbalimbali huomba ajira.
![]() |
| Picha ikionesha kwa tukio la rushwa kazi au maofisini. |

Comments
Post a Comment