ELIMU NI RASILIMALI MUHIMU KATIKA MAISHA
ELIMU INAUMUHIMU MKUBWA KATIKA MAISHA YETU KIJAMII NA KIUCHUMI
Elimu ni taaluma inayomfanya mwanadamu kutoka katika ujinga na kuwa katika nuru au muamko juu ya kitu fulani, kitaaluma, kijamii na kiutamaduni. kunausemi usemao " Elimu ni nuru" inamaana kuwa elimu ni rasilimali muhimu sana katika maisha ya mwanadamu bila ya kujali kabila, rangi, dini na hata jinsia.
Katika maandiko ya dini ya kiislamu ina sema kuwa ni elimu ni lazima (Faradhi) kwa kila muislamu mwanamke na mwanamke. Hivyo inaonesha uzito na umuhimu wa elimu katika maisha ya kila siku, bila ya kujali aina gani ya elimu
Comments
Post a Comment